Ngono ndani ya magari

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,007
Reaction score
168,596
Having sex in a car can be
awkward, if you get caught. To
prevent this awkwardness, some
European cities have created drive
in "Sex Boxes."
Hii biashara ya mabox ukiileta Coco Beach utapata sana hela
 
Last edited by a moderator:
mzabzab hii kitu ni tamu kuliko gesti hausi. Hebu fikiria gest hausi uende na mkeo mkafanyeje?
 
Last edited by a moderator:
Mbona madam b hata kwenye trecta wewe unaliwa naulivo na pepo la ngono
 
Kwa ufupi mambo haya kwa kiwango kikubwa sana yameshusha utu wa mwanadamu na kwa kiasi binadamu sasa tumegeuka kuwa kama wanyama. Sex sasa inakuwa ni kama kitu cha kawaida, na heshima, adabu, nidhamu na maadili yanaendelea kuporomoko siku hadi siku. Tusipokaa vizuri naanza kuhofu kuwa ipo siku biashara ya machangudoa itahalalishwa, suala la ndoa halitakuwepo tena, na sex itakuwa ni huduma kama huduma za vodapesa, tigo pesa au vyoo vya kulipia ambavyo hakuna anayekushangaaa akikuona unaingia huko.

Tunahitaji kudra za Mwenyezi Mungu kuondoka na hali hii ya uzinzi inayoendelea kukua kwa kasi bila kupata pingamizi dhabiti ...
 
HorsePower haya ni maneno mazito sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…