inategemea na makubaliano na mcmamo wenu katika hayo mahusiano...hata hvo kuwahi co vizuri cz hujamjua vema huyo mwenza ako matokeo yake ndo utakuta kuna watoto wanaitwa wa bahati mbaya,mara wa ujana na hao kujaliwa ni vigumu! Wait had umtambue ukiachana na mimba, maradhi mengi.