Ngono mara ngapi kwa wiki

Kila siku viwili au vitatu mara siku 7 utapata jibu...
 
Hamna kitu kama hicho..
 
Bado vitumbua mkuu... sukari umeikadiria vizuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na waliojichua je?


Wanaabstain lakin wanajichua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara moja kwa siku...., mara kumi kwa wiki......,mara mbili kwa mwezi...
 
Inategemea na mood mzee kuna siku unaweza kuamka mwili na akili viko fresh ukashinda home na wife watoto wako kwa bibi huko ukagonga hata mara6 usiku ukamaliza na viwili na asubui ukatoa loki, lakini man kama mipango huku nje haiendi mambo si mambo mi maweza kaa hata wiki nisimguse yaan hapo akili iko ktk kutafta pesa tu , labda yeye aoneshe dalili za kuhitaji, ila ki kawaida ni kila siku kama pesa ipo mfukon ma acc inasoma vzr, aisee hapo ni kula tu mambo mazuri maana kile kidude hakiishi hamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…