Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 771
- 1,903
Vijana tafuteni hela kwanza
! Mnawekeza nguvu kubwaaa kwenye ngono kama vile ni biashara ya hisa
, wakati muda wa kuwekeza kwenye maisha yako ndio huu. Uzee unakuja fasta, halafu mnaanza kutia huruma za kingese
.
Unajifanya wewe ni mwamba wa kuhudumia wanawake kwa mshahara wako wa 350k
… acha mara mmoja!
Utajiri mtauona na kusikia tu kwenye redio na TV
. Kenge nyie, akili iwakae sawa mapema.
Uzi tayari.
! Mnawekeza nguvu kubwaaa kwenye ngono kama vile ni biashara ya hisa
, wakati muda wa kuwekeza kwenye maisha yako ndio huu. Uzee unakuja fasta, halafu mnaanza kutia huruma za kingese
.Unajifanya wewe ni mwamba wa kuhudumia wanawake kwa mshahara wako wa 350k
… acha mara mmoja!Utajiri mtauona na kusikia tu kwenye redio na TV

. Kenge nyie, akili iwakae sawa mapema.Uzi tayari.