Ngonjera ya budjet 2012/2013 bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngonjera ya budjet 2012/2013 bungeni

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Senator p, Jun 23, 2012.

 1. S

  Senator p JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wasira;hodi hodi naingia huku nikishanglia budjet imepita tena kwa kishindo,ester nakuwapa supot bunda haurud!
  Mnyika;dhaifu,nyie dhaifu tena na wenu mwenyekit,magamba mnahira 2015 hamrud!
  Ester;uni2e,tena ni2e kunitwika ctak,kama bund ulpajenga ww thawa,na kma una lako jambo bayana kulweka!
  Wasira;wala hujakosea,ukwel umenena la moyon kultoa litoke kuja kwako,unakisalit chama kwa kudanganywa na halima.Hlo ndilo langu bayana!
  Halma;ww mzee umr umekwenda,pumzika pumzi ushushe!
  Ester;alisalitiwa yesu itakua ww!
  Mnyika;halma na ester achananen nae,hya jipya zaid ya kucopy&kupaste,hta malengo ya mkukuta.

  Endelea na ww
   
 2. MC babuu

  MC babuu Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda shairi
   
Loading...