Kama umekuwa mfuatiliaji wa kampeni zilizopita za mwaka 2005 na pia 2010 utagundua kuwa ccm walikuwa na mikoa au kanda ambazo zinajulikana kama 'NGOME' zao,mfano Dodoma,Tanga n.k Lakini kwa mwaka huu hali tofauti inatokea kuhusu ngome za ccm, kwenye ngome zao hizi watu wengi hawahudhurii tena campaign za ccm kwa hiari na furaha nikimaanisha kuwa asilimia 50+ ya watu huletwa na usafiri mbalimbali uliokodiwa na chama na hii hufanywa mikoa karibu yote Tanzania wakati wa campaign zao hivyo basi inakuwa ni vigumu kujua ni wapi hasa ni ngome yao mwaka huu?
wapi hasa watu wengi zaidi watahudhuria kampeni kwa 'hiari' yao wenyewe?
WAPI HASA NGOME YAO KWA UCHAGUZI HUU?
nawasilisha!!!
NGOME ya CCM NI KAMA HEWA UNAYOVUTA UKIJUA KUWA HEWA UNAYOVUTA IPO MAHALI POTE BASI NA CCM TUPO MAHALI POTE HATA HAPO ULIPOSIMAMA TUPO HUJATUONA? HEBU GEUKA NA NYUMA TUPOOOOOO MBELE TUPO, KUSHOTO TUPOOOO NA KULIA PIA TUPOOO NA HIYO NDIYO CCM.

Hahaaaaaaaa! Ur so genius
NGOME ya CCM NI KAMA HEWA UNAYOVUTA UKIJUA KUWA HEWA UNAYOVUTA IPO MAHALI POTE BASI NA CCM TUPO MAHALI POTE HATA HAPO ULIPOSIMAMA TUPO HUJATUONA? HEBU GEUKA NA NYUMA TUPOOOOOO MBELE TUPO, KUSHOTO TUPOOOO NA KULIA PIA TUPOOO NA HIYO NDIYO CCM.
Kama umekuwa mfuatiliaji wa kampeni zilizopita za mwaka 2005 na pia 2010 utagundua kuwa CCM walikuwa na Mikoa au anda ambazo zinajulikana kama 'NGOME' zao. mfano; Dodoma, Tanga n.k Lakini kwa mwaka huu hali tofauti inatokea kuhusu ngome za CCM, kwenye ngome zao hizi watu wengi hawahudhurii tena campaign za CCM kwa hiari na furaha nikimaanisha kuwa asilimia 50+ ya watu huletwa na usafiri mbalimbali uliokodiwa na chama na hii hufanywa mikoa karibu yote Tanzania wakati wa campaign zao hivyo basi inakuwa ni vigumu kujua ni wapi hasa ni ngome yao mwaka huu?

Nawasilisha!