Ngombe hashindwi na nundule

Falcon

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2010
Posts
245
Reaction score
68
Takribani katika jamii zote kunakuwa na watu hujisifia na pia kusifiwa kwa kile walichobarikiwa nacho katika maumbile ya ukubwa juu ya kile kilichowapelekea kuitwa wanaume, sifa hizo huwa hazimaliziki kwao binafsi na marafiki zao wa karibu tu, bali hata wanawake wanaobahatika kuwa nao kimapenzi nao humwaga sifa kemkem kwa marafiki zao ,jee hivi wanaume nao hufurahia na kusifia pale anapokutana na mwanamke mwenye umbile kubwa katika sehemu ya uke wake( Fenesi)au tuseme( papai) jee wanawake wenyewe hulifurahia hilo la kuwa na ukubwa uliozidi wenziwe ? kama ilivyo kwa wanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…