Ng’ombe 1 = 900K kwa Mwezi!

Hizi ni kauli za wavivu na masikini
SAWA TAJIRI MWENYE MAWAZO YA USHUJAA..
unataka baadaye uanze kusema jiunge whatsapp, uanze kusema kujiunga whatsapp ni tsh 30000 kwa mwaka..je wakiwa 30 manake ni laki tisa kwa mwaka, hujui kuwa hao ndo ng'ombe wenyewe?
ACHA KUFANYA WATU WAJINGA WEWE.
 
Uko sahii ila sisi sio motivation speakers ni wataalamu na wafugaji wa muda. Unaweza kufahamu zaidi kuhusu sisi. Youtube @RubabaTv Blog. Tanzania na Kilimo
KWANI MOTIVATION SPEAKERS HUWA SI WATALAAMU WA NYANJA HUSIKA?
 
hakika
 
Ndugu ulitaka mwaka mzima nitoe elimu bure 😅
Sasa kama unalipa kiingilio cha mpira au show za wasanii. Wanaojua thamani ya ufugaji sio issue kwao.
 
Ukitaka kufuga ng'ombe wa maziwa usianze kununua kwanza ng'ombe kabla ya kuandaa malisho.
 
Unapata laki 9 baada ya kutoa gharama za uendeshaji au a gharama zipo hukohuko ndani zinatakiwa zitoke?
 
Lipa pesa ya tangazo
 
Hao ndio vijana waliomaliza SUA n.k wameona bora wafugie ng'ombe wa maziwa huko Whatsapp. Yaani wanatoza hela kupitia Whatsapp ambayo hata mwenye hiyo Whatsapp hapati toka kwa 'ng'ombe' mmoja
 
Hao ndio vijana waliomaliza SUA n.k wameona bora wafugie ng'ombe wa maziwa huko Whatsapp. Yaani wanatoza hela kupitia Whatsapp ambayo hata mwenye hiyo Whatsapp hapati toka kwa 'ng'ombe' mmoja
Fanya kazi ndugu. Kama unalipia kadi ya yanga unaona tabu kulipia taaluma ambayo mwezako kasomea
 
Fanya kazi ndugu. Kama unalipia kadi ya yanga unaona tabu kulipia taaluma ambayo mwezako kasomea
Usidhani umesoma peke yako!
Pia kujisemea umesomea kitu flani sio tiketi ya kutapeli watu wasio na uelewa.

Nikikutaka ulete uthibitisho wa usajili wa maudhui unayodai unawafundisha watu, je unaweza kufanya hivyo?
 
Hivi humu hua hamna kutufe cha block wapumbavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…