Imani rubaba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 252
- 332
Kwa hiyo mafunzo yanalipa sana kuliko kufuga?Unasikia vizuri kabisa!
Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukuingizia hadi Tsh 900,000 kwa mwezi
✨ Ushuhuda huu unatoka kwa wafugaji waliopata
✅ Ng’ombe Bora
✅ Mafunzo ya Kitaalamu
kutoka kwetu!
Na wewe unaweza!
⏰ Usichelewe – fursa bado ipo!
Wasiliana nasi leo:
📞 0764 148 221
Upate Ng’ombe Bora au Mafunzo ya Ufugaji Kibiashara.
#NgombeWaMaziwa #FursaZaKilimo #KilimoBiashara
#NgombeBora #MaziwaNiBiashara #FugaKibiashara
#RubabaMedia #UfugajiWaKisasa #TanzaniaNaKilimo
Brother mbona umekurupuka sana, huo ni shuhuda kutoka kwa mteja wa ng'ombe. Kinachotangazwa hapo ni ng'ombe bora na mafunzo wanaohitajiKwa hiyo mafunzo yanalipa sana kuliko kufuga?
Kwa nini usifuge mwenyewe ili upate hizo 900k
Hii ni sawa na kumtoza mtu pesa ili umfundishe kubeti, kama unaamini beti Mwenyewe ili upate mihela mimgi
Motivation speaker in town
Ngombe anauzwa sh ngapi?Unasikia vizuri kabisa!
Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukuingizia hadi Tsh 900,000 kwa mwezi
✨ Ushuhuda huu unatoka kwa wafugaji waliopata
✅ Ng’ombe Bora
✅ Mafunzo ya Kitaalamu
kutoka kwetu!
Na wewe unaweza!
⏰ Usichelewe – fursa bado ipo!
Wasiliana nasi leo:
📞 0764 148 221
Upate Ng’ombe Bora au Mafunzo ya Ufugaji Kibiashara.
#NgombeWaMaziwa #FursaZaKilimo #KilimoBiashara
#NgombeBora #MaziwaNiBiashara #FugaKibiashara
#RubabaMedia #UfugajiWaKisasa #TanzaniaNaKilimo
Ngombe anauzwa sh ngapi?
hakika!Kwa hiyo mafunzo yanalipa sana kuliko kufuga?
Kwa nini usifuge mwenyewe ili upate hizo 900k
Hii ni sawa na kumtoza mtu pesa ili umfundishe kubeti, kama unaamini beti Mwenyewe ili upate mihela mimgi
Motivation speaker in town
Hizi ni story piaHizo ni story tu, kuna jamaa ana ng'ombe wanne wa maziwa ila tabu iko pale pale, waambieni watu ukweli!
Ulisha wahi kufuga?Theoretically Yes ila Ukija kwenye Practical hii kitu haipo
Haya yote wateja hua wanaelezewa na tumeshaeleze vingi. Pitia post zetu za nyumaHuyo mama apo nmeona anashika chuchu chini kuna ndogo....ndo alikuwa anakamua au ndo Ile "for example" mana sijaona maziwa yakitoka apo....!!?
Kwa mwezi 900,000 huyo ngmbe anatoa Lita ngapi kwa siku adi mwezi? Elezea
Huyo ngmbe ni WA kisasa/chotara au wa kienyeji.....kama chotara ni Aina gani/brand...?
Zi quote apa tuzipitie...Haya yote wateja hua wanaelezewa na tumeshaeleze vingi. Pitia post zetu za nyuma
Unasikia vizuri kabisa!
Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukuingizia hadi Tsh 900,000 kwa mwezi
✨ Ushuhuda huu unatoka kwa wafugaji waliopata
✅ Ng’ombe Bora
✅ Mafunzo ya Kitaalamu
kutoka kwetu!
Na wewe unaweza!
⏰ Usichelewe – fursa bado ipo!
Wasiliana nasi leo:
📞 0764 148 221
Upate Ng’ombe Bora au Mafunzo ya Ufugaji Kibiashara.
#NgombeWaMaziwa #FursaZaKilimo #KilimoBiashara
#NgombeBora #MaziwaNiBiashara #FugaKibiashara
#RubabaMedia #UfugajiWaKisasa #TanzaniaNaKilimoa
Asante kwa shuhuda, watu wengi waliopo mitandaoni ni wavivu wanahisi kila kitu ni storyNg'ombe wa maziwa ukiwanao 4 tu wanaoweza kutoa lita 10 kwa siku kwa kila mmoja ambao ni chotara unatengeneza hela nzur tu.
Kama haufugi au haujawahi kufuga ng'ombe wa maziwa utaona hizo ni kama hadithi tu lakin ukweli wanalipa.
Kuna mzee nipo nae mtaan ana ng'ombe 1 anauwezo wa kutoa lita 10 asubuh na wengne Lt 4 au 3.5 asubuh, huwa napiga nae story anasema yey halimi hela anapata kupitia ng'ombe hao hao na mashamba anayo.