M Museven JF-Expert Member Joined Aug 22, 2011 Posts 629 Reaction score 452 Dec 19, 2012 #1 Duh, mbona imekuwa tabu jamani! Mwenzenu kila nikimmaind demu na nikaanza mishe mishe ya kumtokea, nakumbuka ukimwi na hapo appetait hushuka ghafla mpaka 0 degree. Wenzangu yanawapata haya na ni lini tutafaidi chakula hii freely bila hofu?
Duh, mbona imekuwa tabu jamani! Mwenzenu kila nikimmaind demu na nikaanza mishe mishe ya kumtokea, nakumbuka ukimwi na hapo appetait hushuka ghafla mpaka 0 degree. Wenzangu yanawapata haya na ni lini tutafaidi chakula hii freely bila hofu?
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,066 Reaction score 168,739 Dec 19, 2012 #2 kunguru muoga hukimbiza bawa lake