Ngoma za daku....!

Kwetunikwetu

JF-Expert Member
Dec 23, 2007
1,535
408
Leo nimeona watoto street wakipita kupiga vile vingoma vya daku ikanikumbusa long time uswazi tulivipiga kinoma. Nimekumbuka baadhi ya mistari ya enzi hizo......embu cheki....;

Scania, wani wani wani X 2,
Scania, Mwanamboka X 2,

Na huyo kinyago wetu ooh Sada ooh, kucheza amechoka,
Kucheka amechoka ooh Sada ooh, kwa hiyo tunaondoka,

Sada kaolewa kaolewa, Sada kaolewa kaolewa
......until fade!
 
hii nyimbo yako wakwetu ndio huwa inatumika kwenye daku?
 
hii nyimbo yako wakwetu ndio huwa inatumika kwenye daku?

haa haaa kiukweli tulicheza sana vigoma vyetu vya kuwamba kwa nyloni.......! Wale tuliokulia Kinondoni enzi zile Mwanamboka anavuma na scania zake za mizigo watakumbuka! Nakumbuka pale Biafra kulikuwa na chama moja (football team) linaitwa Five Star sijui bado lipo au lishakufa..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom