Ngoma ya escrow kumbe ni standard chartered

 
Malizia mwekezaji makini iptl.
 
Standard charterd wakamdai huyo waliemkopesha..., kama amefilisika wakadai insuarance, basi! Na hata kama hiyo pesa ingekuwa na ya Benki ya wanawake...., who cares! RUDISHENI PESA YETU TUKANUNUE MADAWA!
 
Na hata ukikiuzia chama chako mafuso chakavu mawili kwa millioni mia sita, bei ambayo unaweza kununuwa kumi na mawili, wewe unaonekana wa maana tu.

Hata mkuu wa nchi kwenda USA na msafara wa wanafamilia/wapambe lukuki kwa ajili ya kutumbua busha nayo sawa tu ilhal watoto hawana madarasa/madawati na akina mama wanajifungulia njiani ama maeneo ya wazi bila kupata huduma za msingi
 
unanaje wewe ukirefusha akili akili yako ili uweze kuisoma. kwenye mambo serious kama haya usipende short-cut, utashikiwa akili na "tumbili"!
Wewe unajua kabisa watanzania asilia kubwa hawana akili nyingi halafu unawaletea artcle nzima wakati wao wamezoea kusoma vitendawili na methali
 
..naona wezi mnatafuta kila namna ya kutokea....Fact ni kwamba wizi ni wizi tu na hamna justification ya wizi popote pale duniani....hata kama pesa zingekua si za GoT...kwa vile mmeiba ..nyie mnakua wezi tu...Ndio maana waf adhili wanashikilia fedha zao...maana wameshajua nyie ni wezi...na hamna huruma kabisa haswa mnapojua hela hazitoki mifukoni mwenu.....Ndio maana mling'ang'na sana kusema pesa za escrow zilizoibwa si za GoT....mlitaka tu ku justify wizi wenu....
 
Mleta mada ivi haushtuki hela ilivogawanywa kwenye maaccounts ya watu? 1.6 bn msaada WA shule moja? Na bado mnasema binadamu wote ni sawa?
Mara si za umma, Mara nilipewa zawadi, Mara tumbili, Mara kazi maalum ya zzk, Mara wakili msando anasaini kwa niaba ya zzk, Mara ni vita ya urais....meeeengi sana.
Sasa kama ni za std chd ndio mjigawie mnavotaka??? Wanufaika MNA mambo!!!!
 
Hata mkuu wa nchi kwenda USA na msafara wa wanafamilia/wapambe lukuki kwa ajili ya kutumbua busha nayo sawa tu ilhal watoto hawana madarasa/madawati na akina mama wanajifungulia njiani ama maeneo ya wazi bila kupata huduma za msingi
Watoto wa nani?,yani uzae wewe watoto akutunzie jk?,kwani wakati unamkatikia my wife wako alikuwepo?
 

(Ow, ow-ow-ow-ow!
Ow, ow-ow-ow-ow!)
Yeah, yeah, yeah!

How can you be sitting there
Telling me that you care -
That you care?
When every time I look around,
The people suffer in the suffering
In everyway, in everywhere.

Say: na-na-na-na-na (na-na, na-na!):
We're the survivors, yes: the Black survivors!
I tell you what: some people got everything;
Some people got nothing;
Some people got hopes and dreams;
Some people got ways and means.

Na-na-na-na-na (na-na, na-na!):
We're the survivors, yes: the Black survivors!
Yes, we're the survivors, like Daniel out of the lions' den
(Black survivors) Survivors, survivors!
So I Idren, I sistren,
A-which way will we choose?
We better hurry; oh, hurry; oh, hurry; wo, now!
'Cause we got no time to lose.

Some people got facts and claims;
Some people got pride and shame;
Some people got the plots and schemes;
Some people got no aim it seems!

Na-na-na-na-na, na-na, na!
We're the survivors, yes: the Black survivors!
Tell you what: we're the survivors, yeah! - the Black survivors, yeah!
We're the survivors, like Shadrach, Meshach and Abednego
(Black survivors),
Thrown in the fire, but-a never get burn.
So I Idren, I-sistren,

The preaching and talkin' is done;
We've gotta live up, wo now, wo now! -
'Cause the Father's time has come.
Some people put the best outside;
Some people keep the best inside;
Some people can't stand up strong;
Some people won't wait for long.

(Na-na-na-na-na!) Na-na-na, na-na-na na!
We're the survivors

In this age of technological inhumanity (Black survival),
Scientific atrocity (survivors),
Atomic misphilosophy (Black survival),
Nuclear misenergy (survivors):
It's a world that forces lifelong insecurity (Black survival).
Together now:


(Na-na-na-na-na!) Na na-na na na! (Na na-na na na!)
We're the survivors, yeah!
We're the survivors!
Yes, the Black survivors!
We're the survivors:
A good man is never honoured (survivors)
in his own yountry (Black survival).
Nothing change, nothing strange (survivors).
Nothing change, nothing strange (Black survivors).
We got to survive, y'all! (survivors) - /fadeout/
[*Sleeve notes:
But to live as one equal in the eyes
Of the Almighty.]
 
Last edited by a moderator:

UK wamesimamisha misaada kwa shinikizo la Standard Chartered ambao wanataka fedha hizi hizi!!!
 

serikali ya sweden ilitoa bilioni 15 shule hiyo hiyo moja, bwana mengi alitoa mil250, aga khan walitoa mil 100, serikali ya TZ ilitoa ekari 100.....hao wote waliiba wapi? Rugemalira kutoa bil 1.6 sio ajabu.
 
Aliegawa hela kama njugu ni ruge na ni baada ya kula bingo alipouza hisa zake zote 30%kwa PAP naona akapagawa na mabilioni na kutenga kama bilioni 10 ya kugawa tu.
ila jamaa mshamba kweli, bilioni 70 tu anapagawa
 
Umeeleweka but FISAD's BRING BACK OUR MONEY!!!!!!!!!
 
Kwa mtanzania yeyote mzalendo atajua, pesa za escrow ni za umma utake usitake! Teteeni sana hao mafisadi lakini umma wa watanzania unajua ukweli!
 
Mwambie alokutuma HAPA AMETELEZA!!!!Bring back the money
serikali ya sweden ilitoa bilioni 15 shule hiyo hiyo moja, bwana mengi alitoa mil250, aga khan walitoa mil 100, serikali ya TZ ilitoa ekari 100.....hao wote waliiba wapi? Rugemalira kutoa bil 1.6 sio ajabu.
 
 
Sasa imekuwa TEGETA ESCROW account ni kama mtoto wa nje ya ndoa kila mmoja anasema ni wa kwake. msemaji wa Tegeta Escrow account PINDA unasemaje juu ya hili?
 
So zile hela alizokiri kupokea yule mama tibaijuka ni za nani

Je Auditors wakienda shule ya Babro watakuta matumizi ya hayo mabilioni? Na mbona watoto pale bado wanalipishwa 5m/ kwa mwaka kama wanapata mabilioni ya bure toka kwa Rugemalira? Mbona unafuu kwa wazazi hakuna Babro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…