Ngoma mpya: Jux - wivu

wewe kichwani hauko sawa!
We mamong'oo kweli.jux huwa anaachiaga singo mpya

Ila ben pol ye huwa anaachiaga hit mpya
hata kimaadir ben yupo poa sana uwezi kumfananisha na jux msanii mwenye ma skendo ya madawa ya kulevya.
 
Kwanini mnapenda kubishana kwa kila kitu? Kila mtu Ana masikio yake, ndio maana wengine wanapenda reggae na wengine mchiriku, sasa mkitafuta jibu nani ni mkali kupitia masikio yenu ni kupotezeana muda
 
Unamkubari???? cc : faiza foxy
 
Achana nae huyo,
 
we kaka ni hater wa platinumz
huyo jux anavaa nini zaidi ya kumuiga wizkid mpaka boxer???
jux yuko smart tu ila sio kwamba ndo anavaaaa kivile hapana
miondoko mingi mpaka hair style anamuiga wiz

nyimbo zake ni kujiramba midomo tu hana lolote
RNB wa kweli ben pol

we sikiliza tu huo wivu basi, wasanii wengine waache wafanye yao
 
Hv we unamjua ben pol vizur kabisaa?
Ben Paul ana muda mrefu kwenye GAME ila ngoma zake kwangu huwa hazinivutii. Hasa Shouting za Video na Mpangilio wa Beats.
 
R n B ni mziki wa kusikiliza zaidi Ata kwenye shoo Zake ni vocal technique na ubunifu so Kama hauwezi kuwa mbunifu ujipange haswa tena jipange kisawa Sawa
 
Ben Paul ana muda mrefu kwenye GAME ila ngoma zake kwangu huwa hazinivutii. Hasa Shouting za Video na Mpangilio wa Beats.
Kumbe unazipenda zile shutingi za jux za kulala lala kitandani?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na hii ya jizi hapa yakuonesha nyeti za dada zetu?

Ben po toka ashtuke hawezi fanya video zakijinga jinga kama jux.

Ben pol ni msanii mwenye maadir anajua kuzungumza sio muongeaji ongeaji kama jux.

Ben pol ni muandishi mzur sana wa mashail rejea pete.samboila,nitafanyaje,,

Ki upande wangu me jux sijawai kumuona ni msanii wa ajabu.
jux hamgusi ata stive rnb kwa uandishi.
 
Mziki siyo Kanisani. Ingukwa hivyo Nick Minaj na King Rihana wangeisha ondoka kwenye Game, ila wao ndio wanabamba. Vaa Suti/kanzu uone kama utauza kazi zako!!
Kwa upande wa Quality Video (Color, environm/location, sound,beats, pictures, nk) sidhani kama Ben Paul ana video unayo weza linganisha na JUX.
 
Jidena na pit bul ni wavaaji wazur sana wa suti ila angalia wanavyouza kazi zao.
 
Sijaona jipya, wimbo wa kawaida sana na video nayo ya kawaida pia.
 
Huyu jamaa namkubal saaaana ila ananiboa na manyimbo mengine ya kishoga
Ila namkubal kwa nyimbo zake Kali
NAPATA RAHA. UZUR WAKO,SISIKII NIKUITE NANI na Hii mpya jamaa katishaaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…