PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,259
acha wivu wewe...wimbo mzuri sana wa ben pol na mashairi yametuliaJamaa ana ufahamu mziki!! Slow but very interesting!!
Nashangaa eti wimbo wa MOYO wangu wa BEN Paul Unakuwa No 1, top Hits hadi huwa nashangaa hao wapiga kura na MaDJ/TV presenters, wakoje Beat za ajabu ajabu tu.
Kwanza mm siyo mwana mziki, subiri baada ya miezi 3 kama utausikia. Nyimbo za JUX ni kali sn. Angalia hata shouting ya huu wimbo imetulia sana.acha wivu wewe...wimbo mzuri sana wa ben pol na mashairi yametulia
wabongo ndo mlivyo kijana anajitaidi anapiga kazi mkishaona mafanikio mnaanza kuwazushia upuuzi sio poa kabisaJux ni punda mbeba sembe...kwenye muziki anazuga tu biashara yake kubwa ni unga
Tatizo unakuta hakuna nyimbo nzuri ambayo inatrend kwa sasa zaidi ya hiyo ya Moyo mashine-Ben paulJamaa ana ufahamu mziki!! Slow but very interesting!!
Nashangaa eti wimbo wa MOYO wangu wa BEN Paul Unakuwa No 1, top Hits hadi huwa nashangaa hao wapiga kura na MaDJ/TV presenters, wakoje Beat za ajabu ajabu tu.
Jux anafanya biashara ya nguo Na dazenJux ni punda mbeba sembe...kwenye muziki anazuga tu biashara yake kubwa ni unga
Today i realesed how old you are grow upNyimbo ya kawaida sana,mwenye kazi zake huyu hapa.
Hv we unamjua ben pol vizur kabisaa?Jamaa ana ufahamu mziki!! Slow but very interesting!!
Nashangaa eti wimbo wa MOYO wangu wa BEN Paul Unakuwa No 1, top Hits hadi huwa nashangaa hao wapiga kura na MaDJ/TV presenters, wakoje Beat za ajabu ajabu tu.
wewe kichwani hauko sawa!Acheni kumfananisha ben pol na wasanii uchwala.
Unamfananisha Ben Pol na Jux...Jamaa ana ufahamu mziki!! Slow but very interesting!!
Nashangaa eti wimbo wa MOYO wangu wa BEN Paul Unakuwa No 1, top Hits hadi huwa nashangaa hao wapiga kura na MaDJ/TV presenters, wakoje Beat za ajabu ajabu tu.
Wewe ndiye ambaye kichwani hauko sawa...wewe kichwani hauko sawa!
Kila mtu anamsanii wake anaye mkubali kwa mm namkubari sana jux kuliko huyo ben pol kwa hilo sitaki ubishani kila mtu abaki kuwa shabiki wa yule anayemkubali kuhusu TAMADUNI MUSIC mimi nawajua vizuri wengi wao ni wahuni ndomana wanaimbia vichocholoni mbona kuna vijana wengine wanaofanya mziki kama wao na wanafanya poa mfano Roma,bontaWewe ndiye ambaye kichwani hauko sawa...
Alafu kama sikosei wewe ndiye uliyecomment somewhere kwamba TAMADUNI MUSIC wanafanya muziki wa kihuni...
Pia kwenye hii thread unajaribu kumuweka Jux kwenye level za Ben Pol...
Wewe ni CKILAZA...
Unadhalilisha hilo jina unalotumia..!