ngoma kali ya flash back

Unga wa Kitarasa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
398
Reaction score
101
habari za muda huu wadau juzi nilikuwa sehemu nikasikia ngoma fulani ya kizamani inapigwa niliipenda but nikashindwa kuijua jina tafadharini naomba mnisaidie kaimba nani nimeweza kukumbuka baadhi ya mistari ya mwanzo huwa inaanza hivi...... " i got a problem baby you solve no matter how much "
 
daaa sijatambua mkuuu ipo katika kategori gani but ina mahadhi kama ya ile ngoma ya michael jackson ya dont stop til you get enough...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…