Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,808
- 2,911
Wanabodi habari, Huku mtaani nilikuwa nikipita mtaani nasikia vijana wa wenye makompyuta yao mtaani wakiupiga wimbo huu mpya, but sikujua ni nani kauimba. Basi leo nikapita mitaa fulani Sinza nikaona nimuulize tuu wimbo huo unaitwaje na nani kaimba?? Jamaa bila hiyana akanambia ni Meda kamshirikisha Timbulo wimbo unaitwa Sidhani ni wimbo mzuri sana ukianzia Sauti, melody pamoja na beat wamejitahidi sana. Sema ndio hivo meda wengi hawamfahamu kiviile. Pitia link hyo hapo chini siku yako itakuwa njema sana.
Meda Feat Timbulo|Sidhani|Official video - YouTube
Meda Feat Timbulo|Sidhani|Official video - YouTube