Mimi sielewi.
Lets be realistic, kikao kinataka rais awepo... na hata angebaki hapa kwani kungekuwa na any difference??
Kumbukeni system inamuangusha kwa kuachia watendaji wabovu wabaki, cha kusikitisha ndio hao wanaopeana vyeo vyote vikubwa,
tumuache JK akapumzike hotelini ulaya
Yeye mwenyewe kateua mabomu sasa atamlaumu nani?? Na pili pesa ya watu aliyotumia kwenye kampeni ndo inamponza na ndiyo maana unaona ameamua akae kimya na ktk uchaguzi ujao hataki kutumia pesa za watu wale ili aweze kuwashughulikia pale ikibidi.
kapitia libya akiwa njiani kuelekea davos uswisi na kumshukuru ghaddafi kwa msaada waliotoaa wakusaidiaa mafurikooooooo nchiniiii...rais jakaya kikwete, aliondoka nchini jana mchana kuelekea davos, uswisi kuhudhuria kikao cha kila mwaka kuhusu uchumi (world economic forum), kwa mujibu wa taarifa ya kurugenzi ya mawasiliano ya rais, ikulu, jijini dar es salaam jana.
Taarifa hiyo ilisema kikao hicho kitakachoanza kesho na kumalizika januari 30, mwaka huu, kinahudhuriwa na viongozi wakuu wa nchi, wachumi, viongozi wa mashirika mbalimbali, wanataaluma, viongozi wa dini na wanaharakati mbalimbali duniani.
Mara baada ya kikao cha davos, rais kikwete ataelekea addis ababa, ethiopia kuhudhuria kikao cha kila mwaka cha wakuu wa nchi za afrika, kitakachoanza januari 31 hadi februari 2, mwaka huu na kurejea nchini.
Chanzo: Nipashe
Mpaka soli za viatu vyake muungwana ziishe, kanyaga twende!