Ngoja jua lipungue ndo tuondoke

Ngoja jua lipungue ndo tuondoke

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,823
Reaction score
140,858
Wakuu hii kasumba ya mabinti "kushadadia" magari inatia uchungu sana.Binti anataka kwenda kusalimia ndugu,jamaa anamshauri angoje kwanza jua lipungue ili watoke home kwenda kituo cha daladala(mwendo wa km 1).Binti anamuwakia jamaa "Bora angekuwa na gari hata tunapoenda tungeonekana wa maana!".Daah,mi namshkuru Mungu kunipa "kagari kangu ka kike" Carina TI mziki mkubwa,si haba,nikimpakia wife full amani,namuwekea mziki wa Diamond atajiona baaab kubwa.Poleni wakuu wangu,harakati ziendelee
 
Hahahhaha wanawake hawajuagi gari lina gharama sana.
 
mbona topic za magari zinazidi?!!!...kuna nini?
 
Badala yakufikiria kuwa na kanyumba ili kuepukana na adha za kulipa kodi+vurugu za wenyenyumba+majungu,maneno na fitna za kuchunguzana leo fulani kala nn, wao et wanawaza magari.Wanawake wenye tabia hizo maranyingi huwa ni magoli kipa hawana idea yoyote ya maendeleo zaid yakupenda starehe.
 
bas aende akafunge ndoa na yutong, toyota au general motors
 
Back
Top Bottom