Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,441 Reaction score 38,418 Feb 2, 2014 #1 Habari za Jumapili wa JF. Naomba msaada wa muongozo namna gani naweza kuanzisha NGO, vitu kama masharti na ntapataje registration yake! kwa kifupi utaratibu mzima ukoje?
Habari za Jumapili wa JF. Naomba msaada wa muongozo namna gani naweza kuanzisha NGO, vitu kama masharti na ntapataje registration yake! kwa kifupi utaratibu mzima ukoje?