ngo ngongo ngo!

lucresia

Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
15
Reaction score
1
naombeni baraka zenu wana jamvi, mie ni mgeni katika uwanda huu.....
nkipata baraka zenu basi mie ntavua viatu na kujikung'uta mavumbi na kuingia rasmi then 2tashare ideas...
 
Karibu mgeni mwenzangu, JF kuna mapochopocho ya kufa mtu hivi wahusika tuko jikoni tunakuandalia. Jisikie nyumbani:hug:
 
Karibu bana..................

Kuwa mvumilivu sana ..........................halafu jifunze kuwa na kumbukumbu maana kuna CID humu ndani wanafatilia mpaka basi...............
 
Karibu sana lucresia...

Huyu ushauri aliokupa Dena hapo juu.........zingatia sana!
 
Karibu switiiiii!! usivue viatu ingia 2 na viatu.
 
naombeni baraka zenu wana jamvi, mie ni mgeni katika uwanda huu.....
nkipata baraka zenu basi mie ntavua viatu na kujikung'uta mavumbi na kuingia rasmi then 2tashare ideas...
Karibu sana mgeni lucresia.....! But, please take note of the following....

  1. A lie should have a good memory.... So, if you are a lie, make sure you have a good memory....
  2. Though trusting a partner is a wise attitude, only fools may do....! So, never trust anyone (except God), unless you are a fool...
  3. A true love is unconditional; it has no reason(s).... but it is always associated with unlimited, and unconditional forgiveness and sacrifices...!
  4. And lastly, I know your true character, that it is what you normally do when you think nobody is looking at you.....!
 
naombeni baraka zenu wana jamvi, mie ni mgeni katika uwanda huu.....
nkipata baraka zenu basi mie ntavua viatu na kujikung'uta mavumbi na kuingia rasmi then 2tashare ideas...
nashukuru kwa kuwa u,uku
mbini
 
naombeni baraka zenu wana jamvi, mie ni mgeni katika uwanda huu.....
nkipata baraka zenu basi mie ntavua viatu na kujikung'uta mavumbi na kuingia rasmi then 2tashare ideas...

Karibu, lakini naona kama sebuleni kote umepita, waja kugongea hodi karibu kabisa na bedroom. karibu sana, halafu leo tumeanzishiwa kitufe kinaitwa Groan.
 
Karibu sana..japo umekuja hapa chumba cha pili kubishia hodi huko....umepita sebuleni kimya kimya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…