Ngo Ngo Ngo Ngooooooo

Duh! Haaahaaahaaaaaaa!
Shughuli ya "ayu" tamu sana!
Nimezeeka na ninakaribi kupata wajukuu lakini siachi!
 
Wanawake wazuri wameolewa wamebaki maduga hembe yanaangaika sio maneno yangu ni mziki flani hivi nimenukuu......haa mipododo hiyo hasa wa kwanza,wapili na watatu yaonekana wana mipododo
 
kaka hiyo bila NDIMU hailiki maana ladha hakuna kabisaaaaaaa,:target::target:
 
aise Mbuzi mzee wapi nikuekee $ 100 yako?
Hivi ndivo ninavopata dawa kwani nilikuwa mgonjwa baada ya Arsenal kufungwa lakini umenipa therapy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…