Ngereja, katubu kwa Kakobe tafadhali

Ngereja, katubu kwa Kakobe tafadhali

kasuku mtu

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
321
Reaction score
94
Ujumbe: my brother ngereja unakumbuka ukiwa wizara ya nishati na madini uliruhusu kungolewa mabango ya kanisa la full gospel pale mwenge kanisani pamoja na tshirt zote walizokuvalia waumini wale masikini kwa sadaka zao ndi zilighalimu ujenzi wa mabango yale wali mlilia mungu daima.

Basi yamepita mengi huku dumu kwenye uwaziri uliondoka kwa kashifa pia bado juzi juzi umevuliwa ujumbe wa Nec imeniuma sana kuona bado hujapajua ulipo jikwaa.

Kama unautaka URais toba itakuongoza utafanikiwa zingatia hili tunajua wewe ni mchapa kazi na ni kiongozi bora.
ahh me nilisahau kukusalimu na kuwasalimu waungwana wa hii jamii.
 
Ungemshauri atubu kwa Mungu, sio kwa Kakobe.
 
mchapakazi? kiongozi bora? kivipi? kwa lipi?
 
Ngereja alimkosea KAKOBE na waumini wake hivyo anastahili kwenda hapo mwenge akatubu bila hivyo cha moto ataendelea nacho.
Ungemshauri atubu kwa Mungu, sio kwa Kakobe.
 
Ngereja alimkosea KAKOBE na waumini wake hivyo anastahili kwenda hapo mwenge akatubu bila hivyo cha moto ataendelea nacho.

Anae tubiwa ni Mungu tu, binadamu anaombwa msamaha tu, waweza mkose Mungu, bila kumkosea binadamu. Ila huwezi kumkosea binadamu bila kumkosea Mungu.
 
Kakobe noma...

Escrow itamtafuna Ngereja mapaka atakapozikwa..

mgao kapata hela ndogo kuliko wenzake.. na bado imemchonganisha na wananchi.

nina uhakika bungeni harudi 2015..

n akiondoka bungeni tu. wenzake wanamgeuka na kumsumbua sumbua sumbua mpaka kifo chake.
 
inaonekana aliwakosea hadi waumini wa kakobe na sio kakobe peke yake...
kwaiyo akatubu kanisani ?.

kaz kweli kweli.
 
yaaa kakobe ni mtumishi wa mungu hivyo tulio duniani tunafata mafunzo toka kwa viongozi wetu na yeye alikosea kanisa linaloongozwa na askofu kakobe hivyo akitubu kwa kanisa ametubu kwa mungu wake ngeleja katubu plz
 
Wakristo wanatubu kwa binadamu na waislamu wanatubu kwa mungu,kaziiiiiiiiiii kweli.
 
atubu Kwa kakobe kwani kakobe ni Mungu?sema kamuombe msamaha kakobe na waumini wake but not kutubu
 
Back
Top Bottom