Umeme usipite kwa nini???
Umeme ushapita, project ile ilishakwisha!!!
Hapo kwenye Red, Nyaya zimepita juu ya kanisa?? ushaziona wewe? mbona Kakobe haikuifikisha Tanesco mahakamani kulipa fidia ya yale mabango yaliyong'olewa?
Illogical!!
Gharika ya NUHU ililetwa na weweMambo mengine bana!!!
Yani unakkuja hapa kutuambia Mungu wa Kakobe ni katili sana, amesababisha Mgao wa Umeme? zile 33kVA ndo zimesababisha umeme ukosekane Tz?
Unataka kutuambia Mungu wa Kakobe hana jema? hawezi kuombea nchi hii ipate mvua zinyeeshe kwa wingi na watu wapate chakula na mabwawa yajae ili umeme upatikane?
Unatuambia Mungu wa Kakobe ni Mungu wa visasi na chuki, Mungu wa ghiliba na hasira??? huyu ndo mungu wa kakobe?
Mungu asiyesamehe? Yesu aliyesema ukipigwa kofi shavu moja geuza na la pili sio Yesu wa Kakobe? yeye ana Yesu wake?
Huyo Mungu wenu huyo anahitaji kuombewa yeye sasa!!!
CRAP!!
hapana sio!kakobe ndio mungu wako nini?
kinachonifurahisha humu jamvini ikitokea habari ya kumkandia Kakobe watu wako very sensitive kuchangia na kusuport uzushi ila mada ya kumsifu au jambo zuri linalomuhusu raia wako kimyaaaa haya ndio jamvi hili tutafika tu
Sisi tuko MITAMBONI... Kwa taarifa ya uhakika ni Kwamba Umeme wa 132KV (sio 180KV wala 33KV) HAUPITI KUVUKA KANISA la Kakobe. Umeme unashia pale nguzo ya Kabla ya Hospitali ya Katoliki karibu na Round About ya Mlimani City. Mpaka sasa mafundi wajapata solution. Habari ni kwamba ukifika kwenye Nguzo ile unapungua kuliko hiyo 33KV mnayosema.
Kingine ni kwamba ile ni INTERNATIONAL (INTER-COUNTRIES) PROJECT haiwezi kuisha kimya kimya hata kidogo, lazima Rais au Waziri husika angefungua rasmi, vilevile ile ni project kubwa sana lazima Rais wetu angejizolea masifa pale kama ingekuwa tayari.
Use your brains.
Kakobe nae ni fisadi tu kama alivyo ngeleja....
itakusaidia nini wewe?Kakobe aeleze kwanza mapato na matumizi ya fedha kanisani kwake
Afadhali umesaidia kutuweka huru, manake watu walishaanza kutudanganya kwamba umeme haukatizi kwa kakobe.Hivi ugomvi wa Kakobe na Wizara ilikuwa nini kama si nyaya/nguzo kupita juu ya ukuta wa kanisa??
Mambo mengine bana!!!
Yani unakkuja hapa kutuambia Mungu wa Kakobe ni katili sana, amesababisha Mgao wa Umeme? zile 33kVA ndo zimesababisha umeme ukosekane Tz?
Unataka kutuambia Mungu wa Kakobe hana jema? hawezi kuombea nchi hii ipate mvua zinyeeshe kwa wingi na watu wapate chakula na mabwawa yajae ili umeme upatikane?
Unatuambia Mungu wa Kakobe ni Mungu wa visasi na chuki, Mungu wa ghiliba na hasira??? huyu ndo mungu wa kakobe?
Mungu asiyesamehe? Yesu aliyesema ukipigwa kofi shavu moja geuza na la pili sio Yesu wa Kakobe? yeye ana Yesu wake?
Huyo Mungu wenu huyo anahitaji kuombewa yeye sasa!!!
CRAP!!
It begins with youKakobe aeleze kwanza mapato na matumizi ya fedha kanisani kwake