Ngeleja kala dili la Mita za Umeme Makao Makuu ya Tanesco?

Hata mimi tangu June mwaka jana nimeomba kubadilishiwa mita yangu nipewe LUKU jamaa wameniambia maombi yaliyopo yanazidi idadi ya mita zilizoagizwa!

Kigarama toa kitu kidogo hata leo Jumapili unaletewa mita na kufungiwa, "ukitaka kula lazima uliwe" by JK
 
Ngeleja anahusina nini TANESCO, dili wapige wao kasheshe waisukume kwa waziri? mnanchekesha! TANESCO ni kampuni na ina utawala wake.

Kuna ukweli wowote kwamba nguvu na mamlaka ya watawala waliopo Tanesco inategemea sana na huruma za wana siasa ndo maana yule Dr mwenye misimamo aliamua kukaa pembeni?
 
Sasa mnataka wakale wapi? Walipoapishwa naambiwa mawaziri walipewa wosia na mkulu kuwa huu ndio wakati wao wa kula.
Hivi hamshangai kwa nini mkulu kakaa kimya?

What is wrong with this young minister? Haogopi kila kelele anapelekewa yeye na wizara yake? Kama Mramba na Yona ilikuwa ni usanii kwenye matumizi mabaya ya ofisi za umma, yeye inawezekana ikawa ni kweli kama itathibitishwa hivyo. Is it not something to consider or care about?
 
Kwani TANESCO iko chini ya wizara gani au iko mambo ya ndani. Ngereja yuko responsible 100% kwa kila kitu kinachofanyika TANESCO. Na hiyo mipango yake ya liganga na mchuchuma ni ya nini au ni ya kuzalisha upepo?

Fanya utafiti kwanza Mkuu before hitting the reply button!
 
Watanzania bana yale yale mkataba wafanye wengine lawama apewe lowasa acheni kufikiria kwa kutumia viungo vya mayor.
 
Ngeleja anahusina nini TANESCO, dili wapige wao kasheshe waisukume kwa waziri? mnanchekesha! TANESCO ni kampuni na ina utawala wake.

Eeh yaani JF kuna vituko,TANESCO ni kampuni inayojitegemea?ndio leo nasikia.
 
Back
Top Bottom