ng'e na **** ungechagua kipi?

ng'e na **** ungechagua kipi?

Jamani hebu muacheni huyu jamaa na mawazo yake mbona mnataka kumtoa roho, inawezekana pia imemtokea na anajaribu kulinganisha mawazo yake na wanajamii pia

eeeeh...na wewe umejitutumua kuchangia mbna wenzako great thinker wameelewa na wamekaa kimya,okey imeeleweka hvyo.happy valentine ernie
 
Re: ng'e na **** ungechagua kipi?

Jamani hebu muacheni huyu jamaa na mawazo yake mbona mnataka kumtoa roho, inawezekana pia imemtokea na anajaribu kulinganisha mawazo yake na wanajamii pia

Du asitetewe mm naona yeye atujibu maana tumefika mwisho yeye km anaona starehe na maumivu angechagua kipi tunataka jb.
Angeweka ng'e na nyoka vinaendana au kupigwa denda na mwanamme mwenzake bichi na kuvamiwa na kichaa utamtoa yupi? ndo vinaendana
aah mm siifagilii
 
Back
Top Bottom