DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,129 Jun 29, 2025 #1 Mbunge wa Igunga anayemaliza muda wake, Nicholaus Ngassa amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mara nyingine. Ngassa amechukua na kuirejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Igunga, Ebeneza Mainoya.
Mbunge wa Igunga anayemaliza muda wake, Nicholaus Ngassa amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mara nyingine. Ngassa amechukua na kuirejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Igunga, Ebeneza Mainoya.
Crazy_Eight Member Joined Jun 19, 2025 Posts 20 Reaction score 24 Jun 29, 2025 #2 Kuna nini cha special hadi areportiwe jf?