[h=2]Tuesday, December 11, 2012[/h][h=3]EXCLUSIVE: MRISHO NGASSA ASAINI YANGA MIAKA MIWILI NA KUPEWA MILLIONI 10 - AHAIDIWA NYINGENE MWISHO WA MSIMU[/h]Habari nilizozipata kutoka chanzo changu cha kuaminika sana zinasema Mrisho Ngassa amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea yanga. Ataichezea yanga baada ya mkataba wa mkopo simba kuisha.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Shaffih Daud si ndio alikuwa anamtumia "e mele" Maximo asitue Yanga? Soka la kibongo full utataMkuu umenifurahisha sana Shaffih dauda ndo chanzo chake cha kuaminika
I can see their faces,there is language barrier there!!
hapa bado utasikia kasajiliwa na toto afrika klabu yake mama ili airudishe knye fomu...
Ngasa mpaka sasa kishafunga milngo ya sudani kaskazini kuja bongo kununua wachezaji...
itabidi arudishe zile hela sasa namsikitikia kwa kuwa na maamuzi ya kike dogo ngasa unakubali halafu unakuja kukataa sijui ndio nini..
mi nahisi mtoto sio rizki mwanaume aliyekamilika(soldier) hawez fanya kama yeye....drogba katoka ulaya kaenda china..unadhani kafuata mpira kule?ni mkwanja mkuuwatanzania wana akili finyu. Ngasa anakataa mkataba wa sudan , angepata mnaigeria ama mghana nafasi kama hio muone kama angeiacha. Wanaijeria wanakuja hadi bongo huku kutafuta timu.
Sikieni... Tanzania kuwa na mchezaji kucheza ulaya ni ndoto. Sahauni kwenye vichwa vyenu.
anaona kule sudan atazimiss maisha club & club bills.......dah nashukuru baba yangu kwa kunipeleka shule....kukosa elimu ni sawa na kutembea uchihapa bado utasikia kasajiliwa na toto afrika klabu yake mama ili airudishe knye fomu...
Ngasa mpaka sasa kishafunga milngo ya sudani kaskazini kuja bongo kununua wachezaji...
Itabidi arudishe zile hela sasa namsikitikia kwa kuwa na maamuzi ya kike dogo ngasa unakubali halafu unakuja kukataa sijui ndio nini..
wewe mwegge acha kulaumu laumu bilsa kujua nini kinaendelea....anaona kule sudan atazimiss maisha club & club bills.......dah nashukuru baba yangu kwa kunipeleka shule....kukosa elimu ni sawa na kutembea uchi
Mkuu umenifurahisha sana Shaffih dauda ndo chanzo chake cha kuaminika