Ngassa aamua kuoa

Hongera sana Mrisho, ndio umeanza maisha sasa kaka... karibu kwenye upande wa pili wa ujana (kuelekea uzee)..... ha ha haaa... Mola awajaalie yote ya baraka katika ndoa yenu, watoto, upendo nk...
 
Mh, sio kwamba anajiandaa kwenda kumtosa huyu Latifa UK mambo yakitiki kuchezea huko?
 
Vijiposho tu vya wiki mbili London kwenye majaribio- ameoa! Akisajiliwa, I doubt kama hataongeza mke wa pili! Hongera kaka, effect ya 'kukipiga' daily utaisikia tu kwenye magoti na mgongo!

Akipata shavu ataongeza 3 kabisa kama mkubwa wetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom