Ngarenaro leo.........

Mkuu Rocky umeona eeeeeee ukiwa maarufu lazima wakufungulie ukurasa kwenye magazeti, sisi wengine wa Bongo hatufahamiki sana huku lakini tunafika mara kwa mara kwa ajili ya shughuli zetu za kutuingizia japo vijisenti.
M

Mkuu pale kuna wenyewe bana wengine sura tuu zikionekana pale ni balaa kesho yake utaulizwa ulikuwa wafanya nini pale
May be upali kausafiri kako mbali utembee kwa miguu
Mtafute Preta narok huko au facebook and tweeter au pale skylounge pale philips au viota vipta vya moshono na sun down carnival
 
Last edited by a moderator:
saudari ndo mambo gabni hayo aise ya kutuletea huyo mdudu saa hizi za njaa kali hivi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rocky nimepokea maelekezo kwa uzuri kabisa ngoja niyafanyie kazi. Mchana mwema.
 
Wale wazee wa buseresere (Geita) ngoja waje watuchinjie tule.
 
Picha imeangukia kushoto mkuu
Mnuso watu tunajua pilau kumbe ngamia kweli arusha hamna mpinzani lol
 
Hahahahaaaaa Kisu ANASA Mpwa, hio mboga ili inoge shuruti kisu kiwe mbali khaaaaaaaa, acha uchokozi Mpwa nimefunga...ulikua kimya sana MANI KWEMA?
Mpwa mbona sioni kisu?
 
Last edited by a moderator:
Nilikua sijaelewa hii makitu mpaka nilipopita hapo.
Huo mnuso wa Ijumaa nini?
Anyway, mimi niko against kumla mnyama anayekufanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…