Ngao combat system

Joined
Mar 30, 2020
Posts
80
Reaction score
112
Ni mfumo wa elimu ya ulinzi na usalama ulio anzishwa na mlinzi sujaa mwaka ( 2019 ) katika nchini tanzania , kwa lengo la kuwapatia uwezo wa kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya wahalifu, magonjwa, mazingira hatarishi, tabia mbaya, vitendo vibaya, majanga, ajali, wanyama wa kali, wadudu wa kali, kesi na uzembe.

MTAALA WA NGAO COMBAT
1. SAFRTY TRAINING - mafunzo ya usalama, yanajikita katika kutambua wa hatari mapema kabla haijatokea na kuiepuka haraka sana.

2. DEFENSIVE TRAINING - Mafunzo ya kujihami, yanaangazia mbinu za kujihami pindi hatari inapo tokea, kama vile kukabiliana na wanyang'anyi, wabakaji, wateka nyara, wauaji, wanyama wa kali au jinsi ya kujiokoa pindi unapokua umezama na gari lako majini, unapo kuwa ndani ya nyumba inayongua na moto nakadhalika.

3. FIRST AID AND RECOVERY TRAINING - Mafunzo ya huduma ya kwanza yanakazia fikra katika jinsi ya kutoa huduma ya kwanza kwa majeruhi, baada ya hatari kutokea,

hii ndio ngao combat system/ ngao self defense system.


​
 
Nini kipya umekileta ambacho hakikuwepo kabla ya mwaka 2019?
Falsafa ya ngao combat, kanuni za ngao combat, muongozo huu wa mafunzo ya ngao combat, majina ya mbinu za ngao combati na vingingine vingi tuu. Ili ujue , utofauti wa ngao combat inakubidi uisome ngao combat vizuri utaelewa tuu mkuu. Ingia google sasa ivi andika utofauti wa ngao combat na mifumo mingine ya kujihami ni nini, utapata kila kitu unachohitaji kujua kuhusu ngao combat, au ngao self defense system.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…