Neymar vs iniesta nani mbabe

Neymar vs iniesta nani mbabe

Iniesta ni habari nyingine, huyo mnyoa kiduku bado anasafari ndefu ya kufikia Level ya Iniesta.
 
Iniesta ni habari nyingine, huyo mnyoa kiduku bado anasafari ndefu ya kufikia Level ya Iniesta.

Kadogo kana masifa sana kale sidhani kama katafika mbali, uwezo wake haujafika hata nusu ya Dinyo lakini bwembwe kibao.
 
kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk
mkuu umenifurahisha sana:msela:

We mbona umawaza ugomvi tu kila wakati? Aka kajamaa kako kaombee mechi na Cheka au Mashali tukaone kama kweli kapo fiti.
 
"Neymar is the Justin Bieber of football brilliant on the old you tube cat piss in reality" Joey Barton.
 
neymar bado sana kwa iniesta ila kama ataacha ubitoz wake na akaangali moja tu nalo ni kujikita katika kandanda inawezekana akaja kua tishio baadae ila kwa sasa utoto unamsumbua damu inatembea kwa kasi
 
Back
Top Bottom