hio simu inauzwa bei rahisi marekani tu, ukitoka sehemu nyengine bora ununue s3 maana inauzwa ghali sana,
marekani inauzwa na google anaifanyia subsidy wakati sehemu nyengine inauzwa na lg ambaye anaiuza kama flagship nyengine.
then kuna member wa xdadeveloper aliinunua juz juz aka calculate imei akajiona ni mteja wa karibia milion 1 wa nexus, simu inayouzwa bei rahisi na specs kubwa hivyo then baada ya miez karibia 9 kuuza copy milion 1 inaonesha google hana nia ya kuuziwa watu bali kuwabrainwash tu