News Alert:100bn/- allocated to crop buying:Kikwete


Kama zako?:confused2:
 
Hawa sijui wanahitaji bilion moja za kununua mazao au wanahitaji huduma za afya:

katika nchi masikini kama tanzania kila lkitu ni kipaumbele..,tusipokuwa makini tunaweza kuanza na moja tukajikuta tunamalizia katika la pili bila ya kulianza..,ni mchomozo tu....!
 
Mwafrika lile folder la picha za watoto wa Haiti liko tayari.Should I send it to you?:confused2:
 

hii ni aibu kubwa sana kwa taifa lenye takribani 70% ya wakazi wake waishio vijijini; na kujinadi kwa kauli mbiu ya "kilimo kwanza". Ni aibu kubwa sana kwa rais wa nchi kungoja mpaka mazao ya wakulima yaanze kunyeshewa na mvua ndipo atoe tamko la kutolewa kwa fedha za kununua mazao. Sasa hapo umakini wa rais kusimamia kilimo uko wapi?

Kwa mtu yeyote anayetambua utaratibu wa "disbursement of government funds" fedha hizo zitafika katika magahala ya sgr after at least 30 days. Kwa maana ingine mpaka fedha hizo zifike kwa wenye mazao, mahindi hayo yatakuwa yamelowa na mvua baada ya kupunguzwa uzito kwa jua mwezi mzima yakiwa nje ya magahala na fedha za kununua hakuna

hii inaashiria kuwa serikali ya ccm na jk hawakujua ni lini wakulima wanavuna, kupukuchua mahindi, na kufikisha mazao katika magahala ya sgr. Kwa taarifa yako tandale one, kutokana na wakulima wengi kutokuwa na njia zingine za kupata kipato wengi wao tayari wameshalazimika kuuza mahindi yao kwa walanguzi bei ya chini sana, hivyo serikali itanunua mahindi kutoka kwa walanguzi na kipato hicho hakitawafikia wakulima asilani.

Hivyo tandale one. Kwa tarifa yako hapa hakuna cha kujivunia hata kidogo. Yaani unashangilia kushindwa kwa serikali ya ccm na jk kufikisha fedha za kununua mahndi kwa kwa wakati?
 
Masanilo:Za Kibera umezipata?Zichukue then uzilebo Manzese.:confused2:
 

kaka hiyo habari uliisoma na kuielewa au lugha imekutatiza..,hakuna sehemu iliyosema kuwa fedha hiyo itaanza kutolewa baada ya JK kusema ila iko hivi fedha hiyo ilishatengwa tangu wakati wa bunge la bajeti na kupitishwa NFRA. sijui tuko pamoja au bado hauelewi NFRA ni nini...?
 
Leo nimecheka mbavu sina. Slowly we are developing independent thinkers that could change the history of this place. Mwenye macho haambiwi ona. Yes, sound tumezisikia za kutosha
 
ha ha ha ... picha zote hizi ni za Tanzania.
Oneni aibu mafisadi wakubwa nyie ... mnataka hadi kukana picha?!?!?!
sijajua kuwa hata kule kwa wafugaji wenzangu tunatumia lugha hizi kama "ambulance"
inawezekana nimetoka zamani kwani niliwaacha hata kiswahili ni shida..,ama kweli shule za kata zimesaidia....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…