TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
- Thread starter
- #21
Bosi wako makamba amesema kuwa nyie ccm hamna chochote cha kujadili na watanzania wengine. Until nimeona cha maana kwenye maandishi yako, utaniona nimejaa tele nikijadili issues.
Kwa sasa sijaona issue ya kujadili, ninaona ngonjera tu toka Lumumba kwa Makamba. Na kama kawaida yangu, ngonjera zinajibiwa na ngonjera.
Wewe unaonaje?
Kama zako?:confused2: