mhhhhhh haya ngoja nisubiri hiyo hot friday
Bado siku 3 tu. Kama una ratiba yeyote wambie hutawahi
hahahahah unanifundisha ukajanja eeeeh
Hahahaha changamkia fursa izo
hahahaha lakini friday mbaliiiiiiiiiii
Hahahahahha hilo jina langu bana. Au unataka nikufanyie utafiti?
itakuwa vyema kama mimi ndo nitakufanyia utafiti
chezea mimi weweeee
nipe go ahead tu
Haya go ahead
hahahahahaha ngoja nitaarishe vifaaa na hema utafiti utafanyika msituni
Enhee. Nijue ni ni msitu gani usiku nije...
hahahahaha naomba iwe suprise
Thn si tutakua sisi tu? Utafiti utafika vizuri...
Nakupendaje miss neddy wangu???
Nakupendaje miss neddy wangu???