New Zealand: Sanamu la Hamilton laondolewa

New Zealand: Sanamu la Hamilton laondolewa

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Sanamu ya Kapten John Fane Charles Hamilton, imeondolewa katika mji wa Hamilton, New Zealand, mji uliopewa jina lake kwa heshima aliyopewa

Wanaopinga ubaguzi wa rangi na Maori waliomba sanamu hiyo iondolewe kwa kuwa ni kielelezo cha utamaduni mbaya uliowahi kuwepo duniani

Hamilton alikuwa ni kamanda aliyekiongoza kikosi cha wanajeshi wa majini kuwapiga Maori ili kutanua utawala wa ki-British karne ya 19. Alfariki mwaka 1864 katika mapigano ya Pukehinahina au ‘Gate Pa’

Baraza la mji huo limesema uondolewaji wa sanamu hiyo umefuata baada ya maombi halali, hata hivyo waandamanaji walishapanga kuivunja sanamu hiyo mwisho wa wiki wakiongozwa na mwanaharakati Taitimu Maipi ambayo maandamano hayo yangeitwa ‘Hamilton Muuaji’

Kuondoa sanamu na kubadili majina ya miji inayowatukuza wakoloni na wafanyabiashara ya watumwa kumekuwa kunaendelea dunia nzima na waandamanaji waliochochewa sana na kifo cha George Floyd

====

1591934629592.png

The New Zealand city of Hamilton on Friday tore down a statue of the colonial military commander after whom it was named, joining a growing list of places worldwide that are reckoning with their past.

A crane hoisted the bronze sculpture of Captain John Fane Charles Hamilton from the town square Friday morning after requests from local Maori and threats from anti-racism protesters to topple it.

A small group of cheering spectators looked on.
Hamilton City Council acknowledged the statue's extraction was part of a push to remove memorials "which are seen to represent cultural disharmony and oppression" sparked by global anti-racism protests.

"I know many people -– in fact, a growing number of people –- find the statue personally and culturally offensive," mayor Paula Southgate said.
"We can't ignore what is happening all over the world and nor should we. At a time when we are trying to build tolerance and understanding... I don't think the statue helps us to bridge those gaps."

Hamilton was a naval commander who fought indigenous Maori defending their land against British colonial expansion in the 19th century.
He died at the Battle of Pukehinahina, or Gate Pa, in 1864, when -- in an early example of trench warfare -- a group of Maori in a fortified encampment successfully fended off British troops and artillery, despite being outnumbered.

The statue was donated to the council in 2013 and the council said its removal came after a formal request from the regional iwi, or tribe, Waikato-Tainui.
Anti-racism protesters had vowed to tear it down at a demonstration this weekend, with activist Taitimu Maipi labelling Hamilton a murderer.
"How can we accept that he's a hero when he's a monster who led battles," Maipi told the Waikato Times.

Waikato-Tainui praised the statue's removal, saying it was discussing other problematic colonial names and symbols with Hamilton council, including the prospect of restoring the city's original Maori name Kirikiriroa.

"This was a devastating time for our people and these injustices of the past should not be a continual reminder as we look to grow and develop our beautiful city into the future," iwi chairman Rukumoana Schaafhausen said.

Statues and place names honouring figures such as slavers and colonial military figures are being reassessed worldwide in response to anti-racism protests sparked by the police killing of African American man George Floyd.

Hamilton council said the fate of the British commander's statue and what, if anything, should replace it were still under discussion.
 
... naona dunia imechachamaa kweli kweli! Hivi ule ujulikanao kama msanamu wa Bismark kwenye round about junction ya Samora/Azikiwe Dar huyo Bismark ni nani? Sifa zake ni zipi? Just want to know. Mzee Mohamed Said gwiji la historia hususan ya Dar, Tanganyika, na Zanzibar kwa heshima na taadhima tafadhali tia neno hapa Sheikh.
 
Kufuta Historia ya dhulma ni dhulma kwa waliodhulumiwa
... ukidhulumu aliyedhulumu mtakuwa na tofauti gani? Si wale wale tu? By the way, hawakudhulumu wao bali babu zao then ninyi mnakuja kudhulumu wajukuu; mtakuwa na hatia kuliko dhulumati wa mwanzo maana madhara ya dhuluma mmeshayafahamu halafu mnadhulumu!
 
Kufuta Historia ya dhulma ni dhulma kwa waliodhulumiwa

Kweli kabisa, bora lipelekwe Museum Makumbusho maana unaondoa sanamu, machapisho, vitabu lakini ile dhana ya ubaguzi bado ipo mioyoni.

Rwanda wangefukia mafuvu ya Mauaji vya Kimbari vya 1994, watu watafuata historia.

Historia ya aina mbalimbali iwe ktk simulizi, sanamu, vitabu, machapisho, video n.k muhimu kuhifadhiwa ili historia sahihi iendelee kuwepo kupinga ubaguzi, dhulma, mauaji, vita n.k
 
Back
Top Bottom