Hiyo sehemu ya diamond angeimba kiba sipati picha angekimbiza sana!..aah ndio basi tena..hata la kufanya hatuna domo anazitumia hizi nafasi ambazo kiba alizichezea!..
wagonjwa wanaimba wamefurahi huku wanadance,hii dance ya domo ya kurusha rusha mikono now inaboa,kurusha tu mikono na kukenua domo yaani kila video pozi hiyo hiyo

Nilichokiona mimi pale alipoimba diomond na biti ile kiba angeimba poa kumzidi diamond. Huko kulinganisha video za kiba na domo ni kujitafutia stress bila sababu.domo yuko juu sasa period!
wagonjwa wanaimba wamefurahi huku wanadance,hii dance ya domo ya kurusha rusha mikono now inaboa,kurusha tu mikono na kukenua domo yaani kila video pozi hiyo hiyo
Ama kweli kutompenda Chibu ni kujitafutia ugonjwa wa moyo bila sababu coz' always surprises.... aaaaaaargh, we Chibu, wengine tunaumwa tezi dume hapa... haya ma-surprise yasiyoisha utafanya tezi dume zifumuke...