da irritant boy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 407
- 455
Hii whatsapp mpya ukiangalia whats new hakuna la zaidi ya bugs fixed lakini hii leo nilipoamka nikakuta na sms iliyokuwa ikinidirect kuupadate whatsapp nikafanya hivo sasa ndo tatizo limeanza hapo nikiifungua sasa napata ujumbe huu WHATSAPP HAS STOP WORKING UNEXPECTEDLY PLEASE FORCE TO CLOSE,bhasi kisha inajifunga,,,,,embu tusaidiane cha kufanya hapa jashoo lantoka tuu