N Nzobanga01 Member Joined Dec 3, 2014 Posts 8 Reaction score 7 Mar 23, 2015 #1 Wadau TRA wameweka Calculator mpya kwa ajili ya ukadiliaji wa kodi kwa magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini Calculator hiyo ni rahisi kutumia na pia inakupa kodi kwa shilingi za kitanzania ingia kwenye website yao utaikuta
Wadau TRA wameweka Calculator mpya kwa ajili ya ukadiliaji wa kodi kwa magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini Calculator hiyo ni rahisi kutumia na pia inakupa kodi kwa shilingi za kitanzania ingia kwenye website yao utaikuta
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,657 Reaction score 37,821 Mar 23, 2015 #2 Wawekeeweb kamaunayomkuu
Mshobaa JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 1,717 Reaction score 685 Mar 23, 2015 #3 Pdidy said: Wawekeeweb kamaunayomkuu Click to expand... wewe mbona siku zinavyozidi kwenda ndivyo unavyozidi kuwehuka
Pdidy said: Wawekeeweb kamaunayomkuu Click to expand... wewe mbona siku zinavyozidi kwenda ndivyo unavyozidi kuwehuka
bona JF-Expert Member Joined Nov 6, 2009 Posts 3,798 Reaction score 1,444 Mar 23, 2015 #4 wanabadili vip calculator kabla mwaka wa fedha haujaisha au ndio kutafuta pesa za uchaguz????
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,024 Reaction score 16,129 Mar 23, 2015 #5 asante...naona hii ni rahisi kutumia
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,731 Reaction score 2,397 Mar 23, 2015 #6 bona said: wanabadili vip calculator kabla mwaka wa fedha haujaisha au ndio kutafuta pesa za uchaguz???? Click to expand... kubadli calculator siyo kubadili kodi!
bona said: wanabadili vip calculator kabla mwaka wa fedha haujaisha au ndio kutafuta pesa za uchaguz???? Click to expand... kubadli calculator siyo kubadili kodi!