New TPDC Updates

New TPDC Updates

ya saa ngapi hii boss? kuna moja wali update jioni hadi watu waliofanya paper tar 07 kurud nyuma. tar 08 & 09 ilikua bado.
 
ya saa ngapi hii boss? kuna moja wali update jioni hadi watu waliofanya paper tar 07 kurud nyuma. tar 08 & 09 ilikua bado.

Niliiangalia hyo update ila ile document ilikuwa inaupungufu wa results za finance officer II, senior finance officer II, internal auditor-procurement etc
 
wengine chekini web ya COET UDSM sijui kwanini TPDC wameweka kule.
 
wengine chekini web ya COET UDSM sijui kwanini TPDC wameweka kule.

Haahaahaa!! Tanzania kuna vituko vingi kweli na, je, matokeo ya Senior Legal Officer na Legal Officer II yanapatikana wapi, UDSoL (CHUO CHA SHERIA UDSM) au law school of Tanzania? Tafadhali, msaada maana kwenye website ya TPDC hamna kitu tangu interview ifanyike tarehe 07/04/2014.
 
Uko ndipo zilipotungwa zile interview mlizofanya za written na unaweza kuta ata waliosimamia ni wakufunzi wa uko
 
Watu wanataka kurudi makwao Kigoma huko.. Toeni basi matokeo wazee..
 
Jaman TPDC walichokifanya wame-outsource watu kwa ajili ya interview....eg.. accountant walitumia NBAA, procurement & stores officer-PSPTB, engineering-COET so tuwe tunajaribu kupitia website zao pia kama hujayapata matokeo yako.....ila naamin watu waliofanya trh 8/9 matokeo yatatoka leo...
 
Upo right mkuu ila ni kwasababu last time watu walilalamika hawaulizi maswali ya kiprofessional wakaona isiwe tabu,
 
ata matokeo wakitoa leo, kwa style hii ya kutosema lini oral ni kazi bure. kuna watu wanakaa mjini kwa kuunga unga sana, hapa ndio kilio changu kilipo.
 
Majina ya watu waliopita upande wa oral kwenye record management assistant yameongezwa so plse check the link above
 
Back
Top Bottom