LICHA YA UALIMU KUWA NI FANI YENYE WASIMAMIZI WENGI BADO HAIJAWEZA KUFANYA VIZURI.
Nimejiuliza sana lakini leo nimepata jibu(to be reseached)
Huenda ni kutokana na taaluma hii kuingiliwa na Walimu kushindwa kusimamia misingi ya Kitaaluma.
....taaluma hujengwa na misingi ya taaluma na misingi hiyo inaposhindwa kusimamiwa inaingiliwa..
Tunahitaji majibu ya kitaalamu kutoka kwa wataalamu, kushindwa kwa Walimu kusimamia utaalamu ndiyo kosa kubwa tunalofanya Walimu.
Leo Mtu yeyote anaweza kusema chochote kuhusu ualimu (unqweza ukanikosoa)
Tunaweza kufikiri tatizo linatuzunguka kwa nje lakini kumbe Sisi wenyewe ni tatizo.
Swali Mwalimu anaulizwa na Kiongozi wake:Mwalimu kwa nini Watoto unaowafundisha wamefeli sana mwaka huu?
Mwalimu🙁jibu)...."hata Mimi nashangaa na ninasikitika sana".
.....kazi tunayo....