je ushuru ulikuwaje. . .tupe info zote na umenunulia toka wapi. .shifting cost included?
...na Mzigo ulifikia wapi na Umeuchukulia wapi? Tiririka Comrade Utusaidie na sisi Wenzio
Ni kideo mkuuHyo ni simu ,tv au computer? Npo serious mkuu
ni kideo mkuu
kideo kinaingia hadi jf? Dah npo nyuma sana hebu nieleweshe kwanza kiongozi.
eti smartwife.
mkuu umezibuka.
Hawajakulima kodi?
Oyaaa chief-mkwawa Preta WAHEED SUDAY NingaR eliasy C6 Mzee wa Rula njooni huku muone ushahidi wa mirindimo
mkuu na mm nataka kuagiza CM ya kutumia kutoka ebay nitafanyaje nilipie na Mzigo unifikie? msaada tafadhari
Kada hapo nimetumia Wi-Fi mkuu nina simu ya samsung nimewasha hotsport nika connect basi nikaanza pata vitu live pia inasehemu ya kuweka cable ya network (RJ 45) sijaona sehemu ya line ya simuMkuu #Mirindimo naomba nionjeshe kidogo hayo mambo. Naona JF ipo hewani hapo, network waipata vipi? Kupitia Wi-Fi au Simcard?