M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,134 Reaction score 664 Aug 27, 2013 #21 marmo said: Kwa mwenye info undergraduate wataripot tarehe gani? Click to expand... karibu marmo, awali ilikuwa tufungue tar 2 oct, lakini huwa hawakawii kubadilisha, kuwa mvumilivu mimi nikipata taarifa za uhakika ntawajuza. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
marmo said: Kwa mwenye info undergraduate wataripot tarehe gani? Click to expand... karibu marmo, awali ilikuwa tufungue tar 2 oct, lakini huwa hawakawii kubadilisha, kuwa mvumilivu mimi nikipata taarifa za uhakika ntawajuza.
R Rafiki55 Member Joined Aug 25, 2013 Posts 13 Reaction score 0 Aug 27, 2013 #22 Hawa teku mbona mambo yao nusu nusu wamesema joining instructions zipo kwenye web yao, nimesachi kila kona, bila bila
Hawa teku mbona mambo yao nusu nusu wamesema joining instructions zipo kwenye web yao, nimesachi kila kona, bila bila
S sir imma Member Joined Aug 17, 2013 Posts 75 Reaction score 7 Aug 27, 2013 #23 julieth kelvin said: reporting day ya teku ni lini? Click to expand... Tarehe 16-22 Sept ndio usajili 1st year.
julieth kelvin said: reporting day ya teku ni lini? Click to expand... Tarehe 16-22 Sept ndio usajili 1st year.
M marmo Member Joined Mar 19, 2013 Posts 19 Reaction score 2 Aug 27, 2013 #24 Kaka ahsante sana!! God blessings fall over you!!
cantonna JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 1,120 Reaction score 439 Aug 27, 2013 #26 mwitu said: hiki nacho chuo? Makubwa Click to expand... Acha dharau we mbulula we mwenyew umepata 3 afu unajifanya we babu kubwa siyo?
mwitu said: hiki nacho chuo? Makubwa Click to expand... Acha dharau we mbulula we mwenyew umepata 3 afu unajifanya we babu kubwa siyo?
chatts55 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 600 Reaction score 97 Aug 27, 2013 #27 sir imma said: Tarehe 16-22 Sept ndio usajili 1st year. Click to expand... source?
S sir imma Member Joined Aug 17, 2013 Posts 75 Reaction score 7 Aug 27, 2013 #28 chatts55 said: source? Click to expand... www.teku.ac.tz
A armando78 Member Joined Aug 24, 2013 Posts 45 Reaction score 2 Aug 27, 2013 #29 thanx wakuu n vp kuhuxu malazi(hostel) chakula na taalum
A ARCHANDRAMU MBUNGU Member Joined Aug 21, 2013 Posts 19 Reaction score 1 Aug 27, 2013 #30 Wanajamii naombeni msaada wa kuniangalizia jina langu.ARCHANDRAMU MBUNGU.Natanguliza shukrani
chatts55 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 600 Reaction score 97 Aug 27, 2013 #31 ARCHANDRAMU MBUNGU said: Wanajamii naombeni msaada wa kuniangalizia jina langu.ARCHANDRAMU MBUNGU.Natanguliza shukrani Click to expand... Upo bacherol of Ed psychologgy(ARCHANDRAMU MBUNGU) Hongera
ARCHANDRAMU MBUNGU said: Wanajamii naombeni msaada wa kuniangalizia jina langu.ARCHANDRAMU MBUNGU.Natanguliza shukrani Click to expand... Upo bacherol of Ed psychologgy(ARCHANDRAMU MBUNGU) Hongera
A ARCHANDRAMU MBUNGU Member Joined Aug 21, 2013 Posts 19 Reaction score 1 Aug 27, 2013 #32 KAKA nashukuru sana kwa kunijuza MUNGU akubariki sana .NIMEFURAHI SANA KUPATA NAFASI HII
madudy Senior Member Joined Aug 21, 2013 Posts 100 Reaction score 6 Aug 27, 2013 #33 Hongereni saaana ninamajembe yangu mawili yamekuja hapo tumshukuru mungu saanaa maana any thing happen 4 reason
Hongereni saaana ninamajembe yangu mawili yamekuja hapo tumshukuru mungu saanaa maana any thing happen 4 reason
chatts55 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 600 Reaction score 97 Aug 27, 2013 #34 ARCHANDRAMU MBUNGU said: KAKA nashukuru sana kwa kunijuza MUNGU akubariki sana .NIMEFURAHI SANA KUPATA NAFASI HII Click to expand... Usijali ila mimi ni dada,chamsingi tembelea web yao www.teku.ac.tz upokonyoe admission letter
ARCHANDRAMU MBUNGU said: KAKA nashukuru sana kwa kunijuza MUNGU akubariki sana .NIMEFURAHI SANA KUPATA NAFASI HII Click to expand... Usijali ila mimi ni dada,chamsingi tembelea web yao www.teku.ac.tz upokonyoe admission letter
A ARCHANDRAMU MBUNGU Member Joined Aug 21, 2013 Posts 19 Reaction score 1 Aug 27, 2013 #35 Kaka ubarikiwe sana
A ARCHANDRAMU MBUNGU Member Joined Aug 21, 2013 Posts 19 Reaction score 1 Aug 27, 2013 #36 Asante kwa kunijuza dada .pia samahani kwa kukosea.sikujua dada
chatts55 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 600 Reaction score 97 Aug 27, 2013 #37 ARCHANDRAMU MBUNGU said: Asante kwa kunijuza dada .pia samahani kwa kukosea.sikujua dada Click to expand... Usijali mpendwa kitabu chema
ARCHANDRAMU MBUNGU said: Asante kwa kunijuza dada .pia samahani kwa kukosea.sikujua dada Click to expand... Usijali mpendwa kitabu chema
A ARCHANDRAMU MBUNGU Member Joined Aug 21, 2013 Posts 19 Reaction score 1 Aug 27, 2013 #38 DADA asante kwa kunitakia KITABU CHEMA.MUNGU AKUBARIKI
K kapu JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 218 Reaction score 44 Aug 27, 2013 #39 Pia eckenford tanga university,josiah kibila university college wametoaa.
cantonna JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 1,120 Reaction score 439 Aug 27, 2013 #40 daa!naomben mniangalizie wakali wangu wapo jeshini KALEBU MGENI NA POUL KIFYOGA