New samsung Galaxy S2 FOR SALE!!

New samsung Galaxy S2 FOR SALE!!

Rupee

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
32
Reaction score
1
wakuu nina samsung galaxy S2 mpyaa!! The way utakavyo igoogle ndivyo ilivyo! Napatikana Mwenge unaweza nicheck 0653638824 inakuja na kila kitu chake!! Mint New..Only laki4 unachukua mzigo!
Picture with its specification u may google!
 
mkuu s2 dukani laki 3 na nusu, inaonekana hujatembelea maduka mda mrefu.
 
wakuu bei ya S2 sasa ni 350,000/= (fixed)
 
yote sawa wakuu..tufanyeni biashara kwanza! Mambo ya HD,New & old model ni baadae sana.Asanteni kwa ushauri
 
Back
Top Bottom