Hyo new nokia 3310 wameilaunch leo katika official event yao iliyofanyika jijini barcelona mda mfupi ulipita ikiwa ni pamoja na simu nyingine mpya Nokia 3, Nokia 5 na Nokia 6.