New LG g5 inahitajika

New LG g5 inahitajika

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
885
Reaction score
1,298
Kwa wauza smartphone,lg g5 mpya genuine inahitajika...kwa anayeuza anicheki PM
 
Simu mpya kwa uelewa wangu ni ile ambayo haijatumika, mara nyingi kama sio zote simu husika hupatikana dukani. Nenda dukani tu mkuu&be safe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom