New heroine in struggle for democracy

New heroine in struggle for democracy

john agrey

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2015
Posts
1,280
Reaction score
2,080
1. Fatma Aman Abeid Karume is a new Heroine of the struggle for Rule of Law. Kindly welcome her.

2. Kuhusu watu fulani (sitaki hata kutaja kazi yao, sijui zao) kumzuia Wakili Karume kuzungumza Mahakamani baada ya Tundu Lissu kupata dhamana; kilichotupeleka Mahakamani ilikuwa kumpigania Rais wetu Tundu Lissu, na mengine yatashughulikiwa mbele ya safari. Mara nyingine case ya Lissu itakapokuja tutalizungumza hilo, pamoja na lile la hao nisiotaka kuwataja kuwazuia wanaopenda kusikiliza case kuingia Mahakamani wakati sina uhakika kama wametumwa na Mahakama kufanya shughuli hiyo.

3. Nafahamu kwa uhakika kwamba Fatma Karume ameshafungua case ya madai dhidi ya wale (wapo wawili) waliokuwa mstari wa mbele kumzuia asitimize wajibu wake wa kutoa taarifa kwa wale waliopenda kufahamu nini kimeendelea Mahakamani leo. Ili kuleta somo; amewafungulia case kwa majina yao binafsi na si kwa majina ya taasisi yao (hata sitaki kuitaja).

Nawaombea wamshinde kwa kuwa nina uhakika hawana uwezo binafsi wa kumlipa Fatma Karume fidia iwapo watashindwa case hiyo.

Mwisho kabisa; 'haiwezekani mtu atetewe na Mawakili 18 halafu useme kuna tishio la usalama dhidi yake'.

[HASHTAG]#mkojonimaliyakousiwapepolisi[/HASHTAG]!
 
Back
Top Bottom