New Great thinker , May I come ini............?

Naomba kuuliza swali.

Kwa mtaji wa milioni tatu ninaweza kufanya biashara gani ya kunipa faida ya kuanzia milioni moja kwa mwezi?

Hapo iwe running costs zimeshatolewa na mtaji bado upo.
Utaweza kuingiza hiyo mill 1 kutokana na jinsi ambavyo umeshajenga brand yako pia information ya hiyo bussines..
Je wajua biashara za door to door bussines? Forex? Online marketing? chagua moja kati ya hivyo vitu kisha fanya
 
Shukrani.

Ila sina elimu juu ya kila ulichoandika pia elimu yangu siyo kubwa sana. Naomba unisaidie wazo la kitu tangible zaidi ya hivi ulivyoviainisha.
 
Namm naomba hilo jukumu

Sijajua umri wako ila uwe mpole tuu, ngoja ngioja kwanza ukue walau unizidi umri ndo Dadii anaweza kukufikiria kama mmoja wa kumuachia majukumu ya kumlinda Kasie yeye akiwa safarini.
 
je,vipi unayo MARINDA?
 
Sijajua umri wako ila uwe mpole tuu, ngoja ngioja kwanza ukue walau unizidi umri ndo Dadii anaweza kukufikiria kama mmoja wa kumuachia majukumu ya kumlinda Kasie yeye akiwa safarini.
wafahamu mm nina umri gani?? naweza kua mzee wako
 
Hakuna mgeni hapa mgeni kachangamka kusema Tasi kawekwa ndimu, sijui nikukaribishe wapi maana nastuka upo uvunguni mwa kitanda ila haya karibu mgeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…