New Great thinker , May I come ini............?

Mgeni naona huna interest na Mahaba, yangekuwepo ningekukaribisha MMU, wacha waje wenyeji wengine wakukaribishe kwenye maeneo ambayo una interest nayo.

Kasie Matata Mahaba.
 
Mgeni naona huna interest na Mahaba, yangekuwepo ningekukaribisha MMU, wacha waje wenyeji wengine wakukaribishe kwenye maeneo ambayo una interest nayo.

Kasie Matata Mahaba.
Kasie,
mgeni ni mwanaume mkamirifu na rijali hivyo nakuruhusu unikaribishe mmu
 
Yes... Come Figo...!!
 
Kasie,
mgeni ni mwanaume mkamirifu na rijali hivyo nakuruhusu unikaribishe mmu

Ooooh safii, karibu jukwaa la MMU, huko utapata kila aina ya vimbwanga an visa vinavyohusiana na mapenzi familia na maisha binafsi ya watu. Beba na chukua kitachokufaa, vingine viache humohumo seva ya JF haijaagi sio ndoo ya maji hii.

Kila la kheri.

Kasie Dadii.
 
Naomba kuuliza swali.

Kwa mtaji wa milioni tatu ninaweza kufanya biashara gani ya kunipa faida ya kuanzia milioni moja kwa mwezi?

Hapo iwe running costs zimeshatolewa na mtaji bado upo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…