New Great thinker , May I come ini............?

Camp Lehigh

JF-Expert Member
Nov 20, 2018
335
612
.
 

Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    9.9 KB · Views: 68
Mgeni naona huna interest na Mahaba, yangekuwepo ningekukaribisha MMU, wacha waje wenyeji wengine wakukaribishe kwenye maeneo ambayo una interest nayo.

Kasie Matata Mahaba.
 
Mgeni naona huna interest na Mahaba, yangekuwepo ningekukaribisha MMU, wacha waje wenyeji wengine wakukaribishe kwenye maeneo ambayo una interest nayo.

Kasie Matata Mahaba.
Kasie,
mgeni ni mwanaume mkamirifu na rijali hivyo nakuruhusu unikaribishe mmu
 
Yes... Come Figo...!!
Habarii,
Mimi ni member mpya humu jf kwa muda kidogo nimekua mfuatiliaji wa hili jukwaa sasa nimeona nami nijiunge ili niweze kushea na wenzangu yale niliyonayo.

Details
Sex: Male
Location: Milk way Galaxy
Interested in: Linguistic,Programming,Science & gadget, Movies & Music, History, Religious issues,reading and writting.
Natoa nafasi kuulizwa swali lolote.. utajibiwa kiufasaha kama ulivyouliza..

De nada, Gracias!
View attachment 946087
https://www.google.com/url?sa=t&rct...e/tt3045616/&usg=AOvVaw08PFDzc2DIgYujGScjgz-M
Mortdecai
 
Kasie,
mgeni ni mwanaume mkamirifu na rijali hivyo nakuruhusu unikaribishe mmu

Ooooh safii, karibu jukwaa la MMU, huko utapata kila aina ya vimbwanga an visa vinavyohusiana na mapenzi familia na maisha binafsi ya watu. Beba na chukua kitachokufaa, vingine viache humohumo seva ya JF haijaagi sio ndoo ya maji hii.

Kila la kheri.

Kasie Dadii.
 
Naomba kuuliza swali.

Kwa mtaji wa milioni tatu ninaweza kufanya biashara gani ya kunipa faida ya kuanzia milioni moja kwa mwezi?

Hapo iwe running costs zimeshatolewa na mtaji bado upo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom